Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Bukasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Bukasa ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  翻译: