Nenda kwa yaliyomo

Afya ya akili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Afya ya akili inahusisha ustawi wa kihisia, kisaikolojia, na kijamii, ambayo inaathiri utambuzi, mtazamo, na tabia.

Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), ni "hali ya ustawi ambapo mtu anatambua uwezo wake, anaweza kukabiliana na msongo wa kawaida wa maisha, anaweza kufanya kazi kwa tija na kwa ufanisi, na anaweza kuchangia katika jamii yake". [1]

Pia, afya ya akili inaathiri jinsi mtu anavyoshughulikia msongo, mahusiano ya kijamii, na maamuzi. [2] Afya ya akili inajumuisha ustawi wa binafsi, kujiamini, uhuru, uwezo, utegemezi wa kizazi na kizazi, na kutimiza uwezo wa mtu kiakili na kihisia, miongoni mwa mengine. [3]

  1. "Health and Well-Being". World Health Organization. Iliwekwa mnamo 2023-08-09.
  2. "About Mental Health". U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) (kwa American English). 2021-11-23. Iliwekwa mnamo 2022-04-11.
  3. "The world health report 2001 – Mental Health: New Understanding, New Hope" (PDF). WHO. Iliwekwa mnamo 4 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  翻译: