Nenda kwa yaliyomo

Jimbo Kuu la Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Kuu la Milano (kwa Kilatini Archidioecesis Mediolanensis) ni mojawapo kati ya majimbo ya Kanisa Katoliki nchini Italia. Ndani ya Kanisa la Kilatini kwa sehemu kubwa linafuata mapokeo maalumu yaliyopata nguvu kwa Ambrosi (liturujia ya Milano).

Kikanisa lina majimbo ya Bergamo, Brescia, Como, Crema, Cremona, Lodi, Mantova, Pavia na Vigevano chini yake.

Askofu mkuu wake ni Mario Delpini.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 4,208, ambapo kati ya wakazi 5,558,412 (2019) Wakatoliki ni 5,078,297 (91.4%) katika parokia 1,108. Ni jimbo la tatu duniani kote kwa wingi wa waumini na ni la kwanza kwa idadi ya mapadri wanajimbo (1,779).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Milano kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  翻译: