Nenda kwa yaliyomo

Kihispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kihispania
Español
Castellano
Lugha
Asili Uhispania Puerto Rico Argentina, Bolivia, Chile, Colombia, Costa Rica, Cuba, Jamuhuri ya Dominican , Ecuador, El Salvador, Guinea ya Ikweta, Guatemala, Honduras, Meksiko, Nicaragua, Panama, Paraguay, Peru, Uruguay, na Venezuela.
Wasemaji

L1 : 500 Milioni
L2: 601 Milioni

Familia za lugha Kihindi-Kiulaya
Kilatini
Aina za Awali Kilatini ya kawaida
Kihispania cha Kale
Mfumo wa kuandika Kilatini
Nambari za Msimbo
ISO 639-1 es
ISO 639-2 spa
Glottolog stan1288

      Lugha ya Kwanza kwa wengi      Lugha Rasmi au Lugha ya Pili       Asilimia 20% kwenda juu

Kihispania (español; Kiingereza: Spanish) ni lugha ya kimataifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 427 [1] kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 568 duniani wanaosema vizuri Kihispania.

Historia ya lugha

[hariri | hariri chanzo]

Asili ya lugha hiyo ni katika nchi ya Uhispania (Ulaya kusini magharibi), lakini kutokana na historia ya ukoloni na ya biashara lugha hiyo imesambaa sana, hasa Amerika ya Kusini na ya Kati.

Lugha iliyozaa Kihispania ni Kilatini cha Waroma wa Kale waliotawala kwa muda mrefu Uhispania. Ndiyo sababu maneno yake yanatokana na Kilatini kwa asilimia 80, lakini pia na Kiarabu kwa asilimia 8.

Kati ya lugha za Kirumi Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa Kisardinia na Kiitalia.

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi

[hariri | hariri chanzo]

Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania

[hariri | hariri chanzo]
  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni la Uhispania

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


  1. "Native Spanish speakers". Iliwekwa mnamo 2025-02-11.
  翻译: