Nenda kwa yaliyomo

Kimakhuwa-Meetto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakhuwa-Meetto ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji na Tanzania inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Meetto nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 963,000. Pia kuna wasemaji 385,000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Meetto iko katika kundi la P30.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Pires Prata, António. 1960. Gramática da língua macua e seus dialectos. Cucujães: Escola Tipográfica das Missões pelos Sociedade Portuguesa das Missões Católicas. Kurasa iv, 442.
  • Stucky, Suzanne U. 1985. Order in Makua syntax. (Outstanding dissertations in linguistics.) New York: Garland Publishing. Kurasa 240.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Meetto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  翻译: