Nenda kwa yaliyomo

Volodymyr Zelensky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Volodymyr Zelensky
Zelensky wakati wa sherehe ya kuapishwa.
Zelensky wakati wa sherehe ya kuapishwa.
Rais
Tarehe ya kuzaliwa 25 Januari 1978
Kazi mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais


Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.

Utoto na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Volodymyr Zelenskyy alizaliwa katika familia ya Kiyahudi katika mji wa Kryvyi Rih, wakati ule sehemu ya Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamaa ya Ukraine.[1][2][3][4] Lugha yake ya kwanza ni Kirusi[5].

Baba yake Oleksandr Zelenskyy alikuwa profesa wa sayansi za kompyuta, mama yake alikuwa mhandisi.[6][7][8] Babu wa Zelensky alikuwa mwanajeshi katika Jeshi Jekundu la Kisovyeti wakazi wa Vita Kuu ya Pili akafikia cheo cha kanali.[9] Ndugu kadhaa wa familia waliuawa na Wajerumani kwa sababu ya kuwa Wayahudi katika Maangamizi Makuu ya Wayahudi.[10] Volodymyr aliendelea kusoma sheria lakini hakufanya kazi ya wakili baada ya kuhitimu.[2]

Mwigizaji na mtayarishaji

[hariri | hariri chanzo]

Tangu alipokuwa mwanafunzi alitumia nafasi nyingi ya kazi ya mwigizaji. Mwaka 1997 aliunda kundi la waigizaji wachechi la Kvartal 95.[11][12] Kuanzia mwaka 2003 kundi hilo lilitayarisha video kwa ajili ya runinga ya kitaifa ya Ukraine.[13]

Kati ya miaka 2015-2019, Kvartal 95 ilirusha mfululizo wa vipindi vya televisheni vilivyoitwa Servant of the People ambapo Zelensky aliigiza kama Rais wa Ukraine. Chama cha siasa Servant of the People kilianzishwa na wafanyakazi wa Kvartal 95 mnamo Machi 2018.[14][15]

Tarehe 31 Desemba 2018, Zelensky alitangaza rasmi kuwa atagombea urais.[16] Miezi sita kabla ya kutangaza nia yake hiyo, alikuwa tayari kati ya wagombea waliokuwa wakiongoza kwenye kura za maoni.[17][15] Zelensky alipata asilimia 30 za kura kwenye awamu ya kwanza ya uchaguzi. Akaingia katika awamu ya pili pamoja na rais mtendaji Petro Poroshenko akashinda kwa kupata asilimia 72.33.[18]

Mwaka Jina Nafasi
2009 Love in the Big City Igor
2011 Office Romance. Our Time Anatoly Efremovich Novoseltsev
2012 Love in the Big City 2 Igor
2012 Rzhevsky Versus Napoleon Napoleon
2012 8 First Dates Nikita Sokolov
2014 Love in Vegas I gor Zelensky
2015 8 New Dates Nikita Andreevich Sokolov

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Nafasi Notes
2006 Dancing with the Stars mshindani
2008–2012 Svaty mtayarishaji
2015–2019 Servant of the People Vasyl Petrovych Holoborodko, mwalimu wa historia/Rais wa Ukraine
  1. "ethnic Ukrainian father's farer's medal certificate" (kwa Kirusi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 Зеленский Владимир | Руководитель проекта "Квартал-95" [Zelensky Vladimir | Project manager "Kvartal-95"]. Ligamedia (kwa Kirusi). 5 Juni 2018 [2011-10-28]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
  3. "Jewish comic who plays Ukraine president on TV leads Ukraine’s presidential race", The Times of Israel, 2019-03-19. 
  4. Higgins, Andrew. "Ukraine's Newly Elected President Is Jewish. So Is Its Prime Minister. Not All Jews There Are Pleased.", The New York Times, 24 April 2019. 
  5. Talmazan, Yuliya (27 Februari 2022). "3 years ago Zelenskyy was a TV comedian. Now he's standing up to Putin's army". CNBC (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Vladimir Zelensky told about his relationship with his parents Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine by Television Service of News, Channel 1+1, 28 September 2017 (in Ukrainian)
  7. Zelensky Oleksandr Semenovich Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine at the Kryvyi Rih State University of Economics and Technology official website (in Ukrainian)
  8. Volodymyr Zelensky Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine interview by Dmitry Gordon at the official website, 26 December 2018 (in Russian)
  9. "Volodymyr Zelensky Was a Jewish Comedian. Now the World’s Eyes Are on Him.", The Detroit Jewish News, 2022-02-28. (en-US) 
  10. "Zelenskiy: contribution of Ukrainians in victory over Nazism huge", Kyiv Post, 9 May 2019. 
  11. Зеленский Владимир | Руководитель проекта "Квартал-95" [Zelensky Vladimir | Project manager "Kvartal-95"]. Ligamedia (kwa Kirusi). 5 Juni 2018 [2011-10-28]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
  12. Vladimir Zelenskiy Archived 31 Machi 2019 at the Wayback Machine at the official Kvartal 95 website
  13. "Ukraine election: Comedian Zelensky 'wins presidency by landslide'", BBC News, 21 April 2019. Retrieved on 21 April 2019. 
  14. (Kiukraine) Lawyer Zelensky has registered a new political party "Servant of the people", UNIAN (3 December 2017)
  15. 15.0 15.1 (Kiukraine) The boundary of a joke. How Zelensky prepares for the election Archived 8 Februari 2019 at the Wayback Machine, Ukrayinska Pravda (25 October 2018)
  16. "Comedian faces scrutiny over oligarch ties in Ukraine presidential race". Reuters. 1 Aprili 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 23 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. Interfax-Ukraine (15 Julai 2018). "Support for Zelensky, Varkarchuk shows popular demand for new politicians". Kyiv Post.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. (in Ukrainian) "Central Election Commission of Ukraine – Ukrainian Presidential Election 2019 (run-off)". www.cvk.gov.ua. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2019. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Volodymyr Zelensky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  翻译: