Winnipeg
Mandhari
Jiji la Winnipeg | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Mkoa | Manitoba |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 633,451 |
Tovuti: www.winnipeg.ca |
Winnipeg ni mji mkuu na mji mkubwa katika mkoa la Manitoba. Asilimia 60 ya wakazi wa Manitoba wanaishi katika Winnipeg. Kunako mwaka wa 2006, idadi ya wakazi ilikuwa 633,451. Eneo lake ni 464.01 km². Mji upo m 238 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina la Winnipeg ni ya Kikree maana yake ni maji matibwitibwi. Jina inahusu Ziwa Winnipeg
Mji ulianzishwa mwaka 1738
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Winnipeg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |