Karibu to Jadili na HR! Tired of the same old career advice that goes nowhere? 🥱 Jadili na HR is here to change that! Join us for the bi-monthly LinkedIn audio events packed with tips, guest experts, and open discussions to turbocharge your professional journey. What to expect: - Real-world job search wins - Honest career conversations - HR issues/trends that matter to you - Building skills to get you HIRED Ready for progress? Follow for audio events that help you step up your game! #JadiliNaHR #careertips #HRTanzania
Jadili na HR (Discuss with HR)
Human Resources Services
A platform for professional growth, HR insights, and candid career conversations.
About us
Are you feeling stuck in your career? Tired of the same job search strategies with no results? Or maybe you're navigating a tricky workplace situation and crave expert advice? If you're ready for actionable strategies, expert insights, and supportive discussions to elevate your skills or land your next opportunity, then Jadili na HR is the LinkedIn audio event series for you. We're breaking down everything from mastering job interviews and RAW talent desired by every leader to navigating HR best practices, tech trends and future-proofing your career. It doesn't matter if you're a seasoned HR pro, a fresh graduate, or someone looking to switch careers - there's a seat at the table for you. You might know me (Shaatmelau Raymond) from my LinkedIn posts, but here's the thing: I'm obsessed with helping professionals thrive. "Jadili na HR" is my way of creating a space for honest conversations and real-world guidance. Ready to finally unlock your full professional potential? Follow "Jadili na HR" for transformative discussions, expert guests, and a community invested in your growth. #JadiliNaHR #jhr #HRTanzania #jobsearchtz #careergrowth #professionaldevelopmentz #tanzaniacareers
- Industry
- Human Resources Services
- Company size
- 1 employee
- Headquarters
- Arusha
- Type
- Self-Employed
- Founded
- 2024
- Specialties
- Human Resource Management, Career Development, Recruitment and Selection, Talent Development, Job Search Strategies, Leadership Development, Job Search Coaching, HR Trends, Employment Law (Tanzania), Writing Winning CV, Resume Writing, Job interview tips in Tanzania, Soft skills for workplace success, Networking for job seekers, Professional Development, HR in Tanzania, Career advice for university students, HR Best Practices, Personal branding on LinkedIn, and Employee Rights in Tanzania
Locations
-
Primary
Arusha, TZ
Updates
-
Heri ya Krismasi! Karibu tufunge mwaka kibingwa na session itakayokupa fursa ya wewe kuuliza maswali yeyote kwa wazungumzaji watakaokuwepo. Tunashukuru kwa uwepo wako na mahudhurio yako katika sessions za Jadili na HR (Discuss with HR) mwaka huu.
HRM Expert | Talent Acquisition + Employee Engagement Specialist | Driving Performance Management + Compliance | Passionate About People Development | The Cycling HR
Merry Christmas, my LinkedIn family! Vipi tukifunga mwaka na session? Si itakuwa poa?! Karibu tufunge mwaka na uulize maswali yeyote yale uliyonayo juu ya mada mbalimbali tulizojadili katika season 3 na episode 15+ tulizokuwa nazo mwaka 2024. - Una maswali kuhusu nini cha kufanya ukiwa, kabla haujamaliza na baada ya kumaliza chuo? - session hii ni yako. Hapa Anthony Charles atakupatia madini akisapotiwa na wazungumzaji wengine - Una maswali kuhusu #jobsearch, #jobapplication, #interview? - session hii ni yako. Hapa nitakuwepo kujibu maswali yako nikisaidiana na wazungumzaji wenzangu na wataalamu wengine watakaohudhuria. - Una maswali kuhusu #ujasiriamali, #solopreneurship, nini cha kufanya baada ya kusubiria kuajiriwa muda mrefu bila mafanikio? - session hii ni yako. Hapa utapata madini kutoka kwa Princess Kimaro, Godlove Festo, Michael Kapinga, na Anthony Charles. Karibu tufunge mwaka kibingwa ili tuingie 2025 tukiwa na skills zitakazotuwezesha kupiga hatua tunazotaka.
Tufunge Mwaka na #JadiliNaHR: Tuulize Chochote
www.linkedin.com
-
Tuliuliza, Vipi kama kazi unayotafuta isipokuja/isipopatikana? Tunakukaribisha katika S03E01 tujadiliane na kupata majibu kwa swali hilo na mengine yanayohusiana na tatizo la watafuta ajira kusubiri muda mrefu bila kupata ajira na pengine kutokupata ajira kabisa. Karibu sana! P. S. Jambo zuri, shiriki na wenzio! Repost uwakaribishe na wengine katika network yako 😎
HRM Expert | Talent Acquisition + Employee Engagement Specialist | Driving Performance Management + Compliance | Passionate About People Development | The Cycling HR
Tunatafuta ajira. Tunatuma applications - nyingi. Tukibahatika, tunaitwa kwenye interviews - chache. Tukibahatika, baada ya muda mrefu wa kusubiria, pengine miaka ... Tunaajiriwa. Lakini vipi kama hiyo kazi tunayotafuta miaka nenda rudi isipokuja/isipopatikana? Hilo sio tu swali, ila ni uhalisia unaowakuta #jobseekers wengi Tanzania. Karibu katika Season 3 Episode 1 ya Jadili na HR (Discuss with HR) tujadiliane yafuatayo: - Tunajiandaa vipi tusipopata ajira tunayoitafuta muda wote huu? - Je, tunafanyaje kudhibiti matumaini yetu bila kuchanganyikiwa na kukata tamaa kusubiria muda mrefu bila ajira? - Je, ni yapi ya kuzingatia ili kufanikisha mipango m'badala tuliyonayo kupunguza kuweka matumaini katika kuajiriwa pekee? - Na maswali mengine utakayokuwa nayo mhudhuriaji wetu. Tutakuwa na Shukuru Amos na Godlove Festo - solopreneurs na vijana wenzetu toka Tanzania, ambao wanaelewa vyema: - uhalisia wa vijana wenzao watafuta ajira, - maisha ya kutoajiriwa, na - yapi ya kuzingatia unapoamua kujiajiri kukwepa janga la ukosefu wa ajira Hii si ya kukosa asee vijana wenzangu!
This content isn’t available here
Access this content and more in the LinkedIn app
-
Mlitoa pendekezo, limelifanyiwa kazi 😎. Sasa Jadili na HR (Discuss with HR) ina group la Telegram kurahisisha kukumbushana kuhusu events, ku'engage baada ya events, kurequest topics za kuzungumziwa kwa future events na kupeana mrejesho. Link hii hapa: https://t.me/Jadili_na_HR P. S. Sharing is caring! Repost with your thoughts to invite your network.
-
Wewe + HR + Kujadili Mbinu Fanisi za Kuziweza Interviews = ? Jaza jibu sahihi! ☺ Hii ni kwa wote: fresh graduates, job seekers, career/employed professionals, etc. Karibuni sana.
HRM Expert | Talent Acquisition + Employee Engagement Specialist | Driving Performance Management + Compliance | Passionate About People Development | The Cycling HR
Upewe nini tena? Jadili na HR (Discuss with HR) inakukaribisha ujifunze kuziweza interviews kutoka kwa HR (na ma'HR wengine bila shaka watakuwepo! 🤞). Upewe nini tena asee? Njoo uweze kujifunza na kuboresha chances zako za kushinda interviews going forward. P. S. Sharing is caring! Repost event hii kuwakaribisha na wengine.
This content isn’t available here
Access this content and more in the LinkedIn app
-
Nimekuwa nikituma "applications" nyingi bila hata kuitwa kwenye interview, nakosea wapi??? Kama umeshawahi kuwaza na kujiuliza namna hiyo, basi Jadili na HR (Discuss with HR) pamoja na Coach Andrew G. wanakukaribisha kwenye LinkedIn Audio Event hii. Tutajadili na kuzungumzia namna utakavyoweza kuandaa "applications" zitakazokuongezea chance ya wewe kuitwa kwenye interview na pengine hata kukupatia kazi uliyokuwa ukiitafuta kwa muda mrefu sasa. Hii si ya kukosa! P. S. Sharing is caring, repost event hii kuwafahamisha marafiki zako hapa LinkedIn na kwengineko ili nao waweze kunufaika pamoja nawe.
This content isn’t available here
Access this content and more in the LinkedIn app
-
"Optimize your LinkedIn profile na kuwa active...watu wanaona! Usihofie ukimya, watu wanaona!" - Hatibu Jamadi alipokuwa akizungumza katika S02E01 ya #JadiliNaHR.
-
What a season debut! Season 2 started with a very interested audience and we'd like to extend "Big Thank You's" to: Hatibu Jamadi William Ombeni Lucia Gallet Kulwa Martin Joel Jonathan Aden Elly We will share the insights, knowledge, and questions you shared in the events next week. P. S. Thanks to all of you whose images appear in the screenshots - whether you attended the event or not, I extend thanks.