📌
Office of the Chief Government Spokesperson / Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Government Administration
Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania | Official Account of the Chief Government Spokesperson 🇹🇿
About us
Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
- Website
-
http://www.maelezo.go.tz
External link for Office of the Chief Government Spokesperson / Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
- Industry
- Government Administration
- Company size
- 501-1,000 employees
- Headquarters
- Dar es salaam
- Type
- Government Agency
- Founded
- 1945
Locations
-
Primary
123 Samora Ave
Dar es salaam, TZ
-
Uhindini, Makole
Dodoma, TZ
Employees at Office of the Chief Government Spokesperson / Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
-
Kelvin Kanje
Brand Strategist & Visualizer | PR & Communication Spc. | Digital Media Producer | Cross-Platform Storyteller | Ai for Marketing Communications…
-
Abubakar Wanda Kafumba
Senior Information Officer - Ministry of Information, Communication and Information Technology at Chief Government Spokesperson / Msemaji Mkuu wa…
-
Fredy Mwanjala
Head of Public Relations Unit @Tanzania Railways Corporation(TRC)|Senior Journalist | Communication Expert | Digital & Marketing Communication Expert…
-
Dianne ngalula
A full time student and a part time hostess!
Updates
-
MAJI NA BARABARA #SSH2024 #kaziiendelee
-
Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, inatoa pole kwa familia, Makumbusho ya Taifa na Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali (TAGCO), kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Bi. Joyce Mkinga Mwakalobo. Wakati wa uhai wake, Joyce atakumbukwa na kuendelea kuheshimika kutokana na umahili na weledi katika utekelezaji wa majukumu ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali. Mungu ailaze roho ya Marehemu Joyce mahali pema peponi.
-
UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA ZAIDI YA 16% Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za ujenzi. Msigwa amesema hayo leo Desemba 21, 2024 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olmoti jijini Arusha. Aidha, Msigwa amesema mradi huo wa ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utagharimu shilingi Bilioni 286 mpaka kukamilika kwake na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo na fedha zinatoka kwa wakati. Katika hatua nyingine, Msigwa amesema hivi karibuni atatoa taarifa rasmi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Dodoma.