We are excited to welcome Mr. Isaya Charles to the TADB family! Isaya brings valuable skills and fresh perspectives to our team. We look forward to achieving great things together! #TeamGrowth
Tanzania Agricultural Development Bank
Banking
Dar es Salaam, Dar es Salaam 22,074 followers
The Farmers' Bank
About us
A state-owned Development Finance Institution (DFI) established as an apex national-level bank for agricultural development in Tanzania.
- Website
-
http://www.tadb.co.tz
External link for Tanzania Agricultural Development Bank
- Industry
- Banking
- Company size
- 201-500 employees
- Headquarters
- Dar es Salaam, Dar es Salaam
- Type
- Public Company
- Founded
- 2015
- Specialties
- Agricultural lending
Locations
-
Primary
Plot No. 84 Kinondoni Road
4th Floor Acacia Building
Dar es Salaam, Dar es Salaam 255, TZ
Employees at Tanzania Agricultural Development Bank
-
Angelina Nyansambo
--
-
Juliana Mutagaywa
Economist/Resource Mobilization & Partnerships /Project Management
-
Mzee W. Kilele
--
-
Afia Sigge
Experienced Senior Credit professional with over 12 years of experience in Banking industry. I have excellent reputation in leadership and management…
Updates
-
TADB kupitia Mfuko wa Dhamana wa Wakulima Wadogo (SCGS), inatoa dhamana ya mikopo ya mpaka 70% kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo, mifugo na uvuvi. Mpaka sasa Mfuko wa SCGS unashirikiana na mabenki na taasisi za kifedha 19 katika kusaidia upatikanaji wa mitaji na kuchagiza mageuzi makubwa ya kilimo nchini. #TADB #KilimoKinaBenkika
-
Managing Director of Tanzania Agricultural Development Bank (TADB), Mr. Frank Nyabundege, moderated Panel Session 5 at the African Development Financial Institutions (AADFI) 2024 CEO Forum of African DFIs, held in Ebene, Mauritius. The session focused on Development Finance in Africa: Towards a Paradigm Shift. The panel comprised Mr. Admassu Tadesse, Group President of Trade and Development Bank; Boitumelo Mosako, CEO of the Development Bank of Southern Africa (DBSA); Patricia Ojangole, MD of Uganda Development Bank; Chinua Azubike, CEO of InfraCredit; Kevin Ramkaloon, CEO of Business Mauritius; and Dr. Oseni Ezekiel, Special Adviser to the CEO of Bank of Industry. TADB is a member of AADFI, a continental network that supports the development and capacity-building of financial institutions in Africa. This membership allows TADB to access resources, training, and best practices from other development financial institutions across the continent, enhancing its capacity to fulfill its mandate to finance agricultural and economic development in Tanzania. #TADB #KilimoKinaBenkika
-
Exciting News! We are delighted to announce the addition of two fantastic new members to our team at TADB. We are thrilled to have them on board and look forward to achieving great things together. Please join us in extending a warm welcome to our newest team members. #TADB #NewTeamMembers
-
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) pamoja Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) wamefanya kikao cha pamoja ikiwa ni sehemu ya ziara ya 4 ya ufuatiliaji wa mradi wa kuimarisha upatikanaji wa mikopo ya kilimo Tanzania. AFD - Agence Française de Développement #TADB #KilimoKinaBenkika
-
+4
-
Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa ya ahirishwa mpaka 2025 Maadhimisho hayo yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kuanzia tarehe 21 yameahirishwa leo tarehe 26 na Kamishna wa Idara ya Uendelezeji Sekta ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha Dkt. Charles Mwamwaja na kusema kuwa yataendelea 2025 katika mkoa na tarehe itakayotangazwa hapo baadae na Wizara ya Fedha. #TADB #KilimoKinaBenkika #WikiyaHudumazaFedha2024 #Mbeya
-
+5
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda aialika TADB mkoani Songwe kujionea fursa za kilimo na kujadili namna bora ya kufikisha mikopo ya kilimo kwa wananchi alipotembelea banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya. Katika banda la TADB Bi. Happiness Seneda, alipata maelezo kuhusu Huduma za TADB, Mfuko wa Dhamana wa Wakulima Wadogo - SCGS na namna unanavyofanyakazi kwa kushirikiana na mabenki ya kibiashara na taasisi za kifedha katika kuchagiza mageuzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo cha kibiashara. #TADB #KilimoKinaBenkika #WikiyaHudumazaFedha2024 #Mbeya
-
+2
-
Kama msemo wa Kiswahili usemavyo, Samaki mkunje angali mbichi hivyo ndivyo TADB kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha wanavyofanya kwa kutoa elimu ya fedha kwa wanafunzi wanaohudhuria kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea mkoani Mbeya, Viwanja vya Ruanda Nzovwe. Wanafunzi hao wamejifunza mambo mbalimbali ikiwemo umuhimu wa kutumia huduma rasmi za fedha, matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kuweka akiba na namna ya kujitengenezea bajeti. Pamoja na hayo walipata kuifahamu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) namna inavyofanyakazi katika kuchagiza mageuzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo cha kibiashara. #TADB #KilimoKinaBenkika #WikiyaHudumazaFedha2024 #Mbeya
-
+4
-
📸 Bi. Faithful Joshua, Afisa Huduma kwa Wateja wa TADB akiendelea na utoaji wa elimu ya fedha kwa wa Wakilishi wa Wanachama wa Kumekucha SACCOS kutokea mkoani Songwe katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayoendelea kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe, mkoani Mbeya. Pamoja na kutoa elimu ya umuhimu wa kuwa na akaunti benki, utunzaji wa fedha binafsi na kuweka akiba vilevile wa Wakilishi hao wamepatiwa elimu kuhusu; ✅ Huduma za TADB, ✅Namna ya kupata mikopo ya kilimo kutoka TADB, ✅ Umuhimu wa Urasimishaji wa kilimo-biashara, ✅ Mfuko wa dhamana ya mikopo kwa wakulima wadogo (SCGS). #TADB #KilimoKinaBenkika #WikiyaHudumazaFedha2024 #Mbeya
-
+2