Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Idara ya Leseni na Ufuatiliaji, Ndugu John Daffa, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. Jabiri Bakari, katika Mkutano Mkuu wa 11 wa Umoja wa Maafisaelimu Mkoa na Halmashauri (REDEOA) uliofanyika Diamond Jubilee, Dar es Salaam tarehe 4 Machi. Mkutano huo ulikatinisha Maafisa elimu mkoa na halmashauri nchini ukiongozwa na kauli mbiu “Miundombinu ya Shule iliyoboreshwa ni Msingi wa Maendeleo ya Elimu Nchini, Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025”. TCRA imeshiriki katika ufunguzi wa mkutano huo, kutoa elimu kuhusu umuhimu wa uanzishwaji wa vilabu vya kidijiti mashuleni, kuanzia ngazi ya awali hadi vyuo vikuu, kwa lengo la kuwaandaa vyema vijana kushiriki kwenye Uchumi wa Kidijiti unaotegemea TEHAMA. #tcratz #elimukwaumma #vilabuvyakidijiti #digitalclubs @wizara_elimutanzania @wizarahmth
Tanzania Communications Regulatory Authority
Media and Telecommunications
Dar es Salaam, Ubungo 1,770 followers
Regulating communication services for the welfare of the Tanzanian society
About us
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the electronic and postal communication sector in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Authority Act, No.12 of 2003, which merged the Tanzania Communications Commission (TCC) and the Tanzania Broadcasting Commission (TBC). The Authority became operational on 1st November, 2003 and effectively took over the functions of the merged two Commissions. This is mandated by section 4(1) to (7) of the TCRA Act, 2003. OUR VISION “A society empowered by communication services.” OUR MISSION “To regulate communication services for the welfare of Tanzanian society.”
- Website
-
https://www.tcra.go.tz/
External link for Tanzania Communications Regulatory Authority
- Industry
- Media and Telecommunications
- Company size
- 201-500 employees
- Headquarters
- Dar es Salaam, Ubungo
- Type
- Government Agency
- Founded
- 2003
- Specialties
- Telecommunication, Broadcasting, Postal, TZ-Cert, Dot TZ Domain (.tz), and Communication Museum
Locations
-
Primary
20 Sam Nujoma Road
Mawasiliano Towers
Dar es Salaam, Ubungo 14414, TZ
Employees at Tanzania Communications Regulatory Authority
-
Victor A. Kweka
ICT Policy | Regulations | Spectrum | Mobile | Satellite | Broadcasting | Emerging Technologies | Project Management - PMP®
-
Mwesigwa Felician
Principal Telecommunications Engineer
-
Jehovaness Zacharia
Legal Services Professional
-
Noah Laltaika
Communication Specialist-Tanzania
Updates
-
Klabu ya Kidijiti ni jukwaa linalowakutanisha wanafunzi wa ngazi zote za elimu, wanaopenda masomo ya sayansi na teknolojia kwa lengo la kupata uelewa, kuhamasika kubuni na kuvumbua hazina kidijiti. 📌Ewe mwalimu au mwanafunzi, tembelea digitalclubs.tz leo kujiunga na klabu ya kidijiti uipendayo au kuanzisha klabu yako.📌 #tcratz #digitalclubs #klabuzakidijiti #digitaleconomy #uchumiwakidijiti #elimukwaumma
-
-
‼️MUDA UMEONGEZWA BADO SIKU 10‼️ Wito kwa washiriki wa Tuzo za WSIS 2025 Fuatilia mahojiano kuhusu shindano la Tuzo ya WSIS2025 kupitia chaneli yetu ya Youtube tcra_tanzania https://lnkd.in/d3SRztpN 👉Rejea taarifa zaidi kuhusu kushiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS 2025 20+) kupitia kiunganisho https://bit.ly/3CwMhgk 📌 Maelezo zaidi kuhusu uwasilishaji wa taarifa za miradi na tuzo za WSIS yanapatikana kupitia: www.wsis.org/stocktaking na www.wsis.org/prizes. ‼️Ukomo wa kuwasilisha miradi hiyo ni tarehe 14 Machi 2025.‼️ #tcratz #wsisprizes #wsisprizes2025 #taarifakwaumma #elimukwaumma
-
‼️MUDA UMEONGEZWA BADO SIKU 10‼️ Wito kwa washiriki wa Tuzo za WSIS 2025 Fuatilia mahojiano kuhusu shindano la Tuzo ya WSIS2025 kupitia chaneli yetu ya Youtube tcra_tanzania https://lnkd.in/d3SRztpN 👉Rejea taarifa zaidi kuhusu kushiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS 2025 20+) kupitia kiunganisho https://bit.ly/3CwMhgk 📌 Maelezo zaidi kuhusu uwasilishaji wa taarifa za miradi na tuzo za WSIS yanapatikana kupitia: www.wsis.org/stocktaking na www.wsis.org/prizes. ‼️Ukomo wa kuwasilisha miradi hiyo ni tarehe 14 Machi 2025.‼️ #tcratz #wsisprizes #wsisprizes2025 #taarifakwaumma #elimukwaumma
-
-
📌ZIMEBAKI SIKU 6 TUU...... Usajili wa Shindano la Girls in ICT Mwaka 2025, kwa Wanafunzi Wasichana wa Vyuo Vikuu nchini umebakiza siku 6 tuu⏰; bofya link https://lnkd.in/dCNdFgiQ kufungua akaunti kwenye jukwaa la Klabu za kidijiti ili kufanya usajili wa shindano hili kabla ya tarehe 7 Machi, 2025. Share na wenzako ili wasipitwe na fursa hii muhimu🔥🔥 #tcratz #girlsinict2025 #digitalclubs #digitalclubstz #klabuzakidijiti
-
-
📌 MATANGAZO MBASHARA KUPITIA CHANELI YA YOUTUBE YA TCRA 📌MADA: Kampeni ya pamoja ya SITAPELIKI ⏰: 12:00 Jioni 28/02/2025 📍Caheneli ya TouTube ya TCRA @tcra_tanzania https://lnkd.in/eYCkfssK #tcratz #elimukwaumma #sitapeliki #nirahisisanakuwasalamamtandaoni
-
-
📌TAARIFA KWA UMMA: FURSA YA KUHUDUMU KATIKA KAMATI YA MAUDHUI #tcratz #taarifakwaumma
-
-
📌PUBLIC NOTICE: OPPORTUNITY TO SERVE IN THE CONTENT COMMITTEE #tcratz #publicnotice
-
-
🚨Usajili wa Shindano la Girls in ICT Mwaka 2025, kwa Wanafunzi Wasichana wa Vyuo Vikuu nchini umefunguliwa; bofya link https://lnkd.in/dCNdFgiQ kufungua akaunti kwenye jukwaa la Klabu za kidijiti ili kufanya usajili wa shindano hili kabla ya tarehe 7 Machi, 2025. #tcratz #girlsinict2025 #digitalclubs #digitalclubstz #klabuzakidijiti
-
-
📌PUBLIC NOTICE 🗣️CALL FOR TANZANIA'S COMMUNITY AND INNOVATORS TO PARTICIPATE IN THE FIRST UN CITIVERSE CHALLENGE For more details, please visit the UN Citiverse Challenge webpage:👇🏾 https://lnkd.in/djHgEHGP
-