Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) pamoja Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) wamefanya kikao cha pamoja ikiwa ni sehemu ya ziara ya 4 ya ufuatiliaji wa mradi wa kuimarisha upatikanaji wa mikopo ya kilimo Tanzania. AFD - Agence Française de Développement #TADB #KilimoKinaBenkika
-
+4
Self Employed
2wHakika inapendeza sana ndugu zangu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo.