Historia ya Uhasibu

Historia ya Uhasibu

8000-5000BC-Ushahidi wa kwanza kbisa wa lugha ya uhasibu unatoka kwa Ustaarabu wa Mesopotamia

2000BC-Watunza fedha wana uwezekano mkubwa wa kuibuka wakati jamii ingali chini ya mfumo wa kubadilishana fedha

1400s-Single-entry bookkeeping ni kawaida 

1494-Mtawa wa Kiitaliano Luca Pacioli anachapisha mfumo wa uhasibu wa kisasa

1877-The American association of public accountants (AAPA) ulianzishwa

1896-Taaluma ya uhasibu inatambulika rasmi kwa jina la mhasibu wa umma aliyeidhinishwa (CPA)

1913-Marekani Yaanza kutoza kodi ya mapato ili kufadhili vita vya dunia vijavyo na hitaji la wahasibu linaongezeka

1952-IBM ilitoa kompyuta yake kubwa ya kwanza na wahasibu ni kati ya wa kwanza kuzitumia

Leo-Quickbooks ni kati ya programu maarufu ya uhasibu iliyowahi kutumika

To view or add a comment, sign in

More articles by Cassian and Associates

Explore topics