IFM CYBERSECURITY CLUB’s Post

IFM CYBERSECURITY CLUB reposted this

📌HABARI NJEMA, DIRISHA LA USAJILI LIMEFUNGULIWA 🎺🗣️🔊👇 Usajili wa Shindano la “Cyber Champions” kwa mwaka 2024/25 umefunguliwa rasmi leo tarehe 01/12/2024. Kwa taarifa zaidi tembelea https://lnkd.in/dJAK-8ch au tupigie kupitia namba 0800008272. Usikose kujisajili na kushiriki shindano hili muhimu linalofungua fursa kwa vijana kupata ujuzi, udhamini wa masomo, kujiajiri au kuajiriwa na nyingine nyingi🤝 📌Like, save, share & tag wenzako ili wajiandae kushiriki fursa hii muhimu📌 #cybersecurity #cyberchampions #informationsecuritymanagement #tzcert #tcratz #cybersafety #digitalclubs #elimukwaumma #nirahisisana #nirahisikuwasalamamtandaoni

Bakari Mohamedi Mpawaso

Cyber Security Engineer | Ethical Hacker | IS Auditor | ICT Researcher

1w

Love it

Like
Reply

To view or add a comment, sign in

Explore topics